
Msanii mkongwe kwenye gemu la Bongo Banana zorro( kushoto) akiwa na rafiki yake siku ya Alhamisi wiki iliyopita ndani ya Ukumbi wa Sweet Easy Oysterbay jijini Darisalaam.Kila wiki tupo hapa jaman na tunawakaribisheni wote.

Tangu tarehe mbili mwezi huu , King Kif nipo na Banana Zorro na The B Band kama Promotion Manager.Pia, kuna majukumu mengine mengi ninayoyasimamia.

Huyu mjomba ni waiku nyingi mno kwenye bendi hii na alifanya mambo makubwa jukwaani , nitazidi kumtambulisha zaidi.....

Upendo mtupu hapa! Sam naye alitimba ndani ya mjengo.....

Hapa shughuli inapingwa kibingwa !

Saida (kushoto) akifanya mambo na mwenzake huku muda unakwenda!

Chapati zilicharazwa mno!
No comments:
Post a Comment