Rais wa bendi ya B- Band Mzee Zahir Ally Zorro akiwa katika mapumziko mafupi jana usiku katika onyesho la bendi hiyo ambapo kila Ijumaa watakuwa wakikamua Thai Village, Masaki na kila siku ya Alhamisi watakuwa Sweet Easy Oysterbay na Jumapili burudani yao inapatikana katika ukumbi wa Cine Club Mikocheni kuanzia mchana ,ambapo watu wa rika tofauti hujumuika pamoja na familia zao bila kuwasau watoto ambapo watafurahia michezo ya bembea na michezo mbalimbali.
Msanii Khalid Mohammed TID na yeye alikuwepo kunipa sapoti kiaina
Huu ni usafiri wa Galacha Mafumu Bilali Bombenga ambaye anaokekana katika picha chini naye alikuwepo katika onyesho hilo.
Leah Moudy zao la Bongo Star Seach akiwajibika jukwaani.
oto ni Promotion Manager King Kif akishoo love na Abbou ambaye ni Sound Engeenier wa The B Band.
No comments:
Post a Comment