
Hapa sasa moto unawashwa namna hii....huku umati wa watu ukishuhudia kibingwa. Ilikuwa tarehe 2 mwezi huu katika ukumbi wa Cine Club , Mikocheni , jijini Dar es Salaam.Ni shangwe za mwaka mpya.

Kuna muda uliwadia ambapo ili bidi niwaite watoto mbelea ya jukwaa kucheza na kisha aliyewashinda wenzake aliaondoka na zawadi maalum kutoka The B Band

Mademu nao hawakubaki nyuma kusapoti kazi !

Kuna mwanamke mmoja aliniletea mwanae ambapo nilishoo love nae ....ndipo King Kif ambaye ni Promotion Manager wangu akanitwanga picha hii !.Huyu mtoto anaitwa Yusuph.

Cheki nyomi kiaina!
No comments:
Post a Comment