Anaitwa King Kif. Ni Mkurugenzi wa King Kif Productions ambayo ni kampuni inayojishughulisha na masuala ya promotions na hushauri kwa wasanii na wadau wa masuala ya burudani hapa nchini. Ni kaka wa muda mrefu kwenye gemu na sasa ninaye kwe BANANA ZORRO NA THE B BAND kama Promotion Manager.
No comments:
Post a Comment